Monthly Archives: June 2019

Mashindano ya Taifa ya Riadha 2019 Kufanyika Arusha.

Mashindano ya Taifa ya Riadha 2019 Kufanyika Arusha.

Mashindano ya Taifa ya Riadha yatafanyika tarehe 5 na 6 Julai ,2019 katika uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kwa udhamini wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Mashindano hayo yanatarajiwa kuhudhuriwa na wachezaji 365 kutoka katika mikoa 31 ya Tanzania Bara na Visiwani wakimbatana na Viongozi 42 ili kusimamia mashindano hayo kwa mujibu wa sheria na kanuni…

Read more

Joseph Panga Ashika Nafasi ya Tatu #BB10K

Joseph Panga Ashika Nafasi ya Tatu #BB10K

Mwanariadha wa Tanzania, Joseph Panga ashika nafasi ya tatu katika Mashindano ya Bolder Boulder Marathon 10K huko Marekani kwa kutumia dakika 29 na sekunde 3 (00:29:03) nyuma ya mkenya Bernard Ngeno aliyeshinda mashindano hayo kwa 00:28:29 akifuatiwa na delesa kutoka Ethiopia aliyeshika nafasi ya pili kwa 00:28:58. Gabriel Geay ashika nafasi ya tano kwa muda wa 29:13 huku simbu akichukua…

Read more

Simbu ashika Nafasi ya Tatu

Simbu ashika Nafasi ya Tatu

Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Alphonce Felix Simbu Ashika nafasi ya Tatu katika Mashindano ya Rock ‘n’ Roll San Diego Marathon Jumapili tarehe 2 Juni, 2019 huko Marekani; kwa kutumia muda wa saa moja, dakika moja na sekunde thelathini na nne ( 01:01:34) .

Read more