Simbu ashika Nafasi ya Tatu

Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Alphonce Felix Simbu Ashika nafasi ya Tatu katika Mashindano ya Rock ‘n’ Roll San Diego Marathon Jumapili tarehe 2 Juni, 2019 huko Marekani; kwa kutumia muda wa saa moja, dakika moja na sekunde thelathini na nne ( 01:01:34) .

Leave a reply