Monthly Archives: July 2019

Onyo kwa Wanaovunja Taratibu, Ushiriki na Uandaaji Marathons nchini

Onyo kwa Wanaovunja Taratibu, Ushiriki na Uandaaji Marathons nchini

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limeanza kuchukua hatua kwa wale ambao hawataki kufuata taratibu, kanuni na sheria katika uandaaji na ushiriki wa mbio mbalimbali za marathon nchini. Kwa muda mrefu baadhi ya waandaaji wa mbio hizo na washiriki kutoka nje ya nchi, wamekuwa kwa makusuidi wakivunja taratibu kwa maslahi binafsi, bila kujali maslahi mapana ya maendeleo ya mchezo wa riadha…

Read more

Mashindano ya Taifa Yameahirishwa kwa muda

Mashindano ya Taifa Yameahirishwa kwa muda

Shirikisho la Riadha Tanzania inapenda kutangaza kwamba Mashindano ya Riadha ya Taifa yaliyopangwa kufanyika Arusha Julai 5 hadi 6 / 2019 yameahirishwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Hata hivyo niwahakikishie wadau wote wa riadha nchini kwamba Mashindano ya Taifa yatafanyika baadae mwezi huu Arusha kwa tarehe itakayotangazwa wiki ijayo. Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaotokana na ahirisho la…

Read more